Episode Details

Back to Episodes

Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya

Published 3 weeks, 2 days ago
Description

Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, hali imebadilika. Wanasiasa na wanaharakati wanaokimbilia Kenya ili kupewa hifadhi, imegeuka kuwa sehemu ya utekaji. Hivi karibuni, mwanaharakati kutoka Tanzania Twaha Mwaipaya alitekwa na watu wasiofahamika Karibu na Nairobi. Je, Kenya si salama tena kwa wanaharakati ? Tunachambua.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us