Episode Details
Back to EpisodesMchakato wa uchaguzi mkuu wa mei 2027 nchini Burundi
Published 2 days, 23 hours ago
Description
Nchi nyingi zinajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa urais mwaka ujao; makala hii inaangazia mchakato wa uchaguzi unavyoendelea nchini Burundi, ambapo hivi karibuni wanasiasa kadhaa miongoni mwao rais Evariste Ndayishimiye anayegombea kwa muhula wa pili, lakini pia kinara wa upinzani, Agathon Rwassa wamechukua na kurejesha fomu za kugombea. Uchaguzi umepangwa kufanyika huko Burundi, tarehe 03/05 mwaka 2027,