Podcast Episodes
Back to SearchHatima ya serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar
Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, amezindua Kamati ya pamoja ya majadiliano kati ya chama chake CCM na kile cha upinzani ACT Wazalendo, katika kil…
2 months, 1 week ago
Kenya yatoa siku 90 kwa wageni wasio na vibali halali kuvitafuta
Serikali ya Kenya, imewatangazia raia wa kigeni wanaoishi nchini humo bila vibali vya kuishi au kufanya biashara, kuvitafuta ndani ya siku tisini.Hii…
2 months, 2 weeks ago
Mpango wa rais Tshisekedi kuhusu mazungumzo yatafanikiwa ?
Mwishoni mwa mwezi wa Agosti, rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, alitangaza mpango wa namna mazungumzo ya kitaifa yatakavyofa…
2 months, 3 weeks ago
DR Congo: Mvutano waendelea kuhusu mpango wa kuifanyia marekebisho katiba
Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi Julai, iliidhinisha sheria tata ya kufanyika kwa kura ya maoni, ili kuifanyia katib…
3 months, 1 week ago
Kwanini kampeni za mapema zimeanza nchini Kenya, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ?
Ni mwaka mmoja, kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya. Uchaguzi huo utafanyika tarehe 10 mwezi Agosti mwaka 2027. Wakenya watamchagua rais, Magavana, M…
3 months, 2 weeks ago
Maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania yatafanikiwa ?
Nchini Tanzania, maneno maridhiano na Katiba mpya, yameendelea kutawala vinywa vya wanasiasa na wananchi wa taifa hilo baada ya uchaguzi mkuu uliok…
3 months, 3 weeks ago
Kenya: Je, Seneta Edwin Sifuna anataka kuwania urais 2027 ?
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya 2027, nyota ya kisiasa ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna inaonekana kuanza kung'aa. Sifuna aliyekuwa Katibu Mkuu …
3 months, 4 weeks ago
Je, mazungumzo ya kitaifa nchini DRC yatafanyika ?
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amekubali kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili mivutano ya kisiasa likiwemo suala la k…
4 months ago
Kwanini vita vya Marekani na Iran vimeanza tena ?
Marekani na Iran zimeanza tena kushambuliana, na kuzua wasiwasi wa kuendelea kwa vita vilivyoanza mwezi Februari 2026. Mashambulizi haya yamelenga ku…
4 months, 1 week ago
Rais Ndayishimiye ataweza kuleta maridhiano kati ya upinzani na serikali nchini DRC ?
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wiki hii amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani …
4 months, 2 weeks ago