Episode Details
Back to EpisodesRais Ndayishimiye ataweza kuleta maridhiano kati ya upinzani na serikali nchini DRC ?
Published 4 months, 2 weeks ago
Description
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wiki hii amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani kutoka muungano wa C64 na viongozi wa Kanisa Katoliki na Kiprotestanti nchini DRC, wanaopinga mchakato wa marekebisho ya katiba unaoungwa mkono na rais Felix Tshisekedi. Je, rais Ndayishimiye, atafanikiwa kuleta maridhiano ?