Episode Details
Back to EpisodesKenya: Je, Seneta Edwin Sifuna anataka kuwania urais 2027 ?
Published 3 months, 4 weeks ago
Description
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya 2027, nyota ya kisiasa ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna inaonekana kuanza kung'aa. Sifuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ODM, sasa anaongoza vuguvugu linaloitwa Linda Mwananchi. Je, Sifuna ameanza kutembea kwenye viatu vya aliyekuwa kiongozi shupavu wa kisiasa, Marehemu Raila Odinga. Tunachambua.