Episode Details
Back to EpisodesKenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ?
Published 2 months ago
Description
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo cha majibizano haya ? Victor Abuso anachambua hili kwa kina na Edwin Kegoli, mchambuzi wa siasa na masuala ya sera nchini Kenya.