Episode Details

Back to Episodes

Fursa ya maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania baada ya hukumu ya Tundu Lissu

Published 2 weeks, 2 days ago
Description

Novemba tarehe 6, Mahakama Kuu jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ilimhukumu miaka minne jela Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi, baada ya kumwondolea kesi ya uhaini aliyokuwa ameshtakiwa nayo na kuzuiwa gerezani tangu alipokamatwa Aprili 9, 2025. Tundu Lissu na chama chake, wanasema hukumu hiyo ni ya kisiasa. Kuna uwezekano wa maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania ? Tunachambua na mtaalam wa siasa na utatuzi wa migogoro Francis Ibrahim.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us