Podcast Episodes
Back to Search
#DZK002; Kwa Nini Saba Zitakazokupa Mafanikio Makubwa.
KWA NINI 7 ZITAKAZOKUPA MAFANIKIO MAKUBWA
Rafiki yangu mpendwa,
Ulikuja hapa duniani bila maelekezo yoyote ya unachoweza kufanya na kwa nini uko hapa…
5 months, 3 weeks ago
#DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU)
Rudia Rudia Bila Kuchoka
Rafiki,
Kwa kipindi ambacho nimejifunza na kuishi kanuni za mafanikio,
Kuna kitu kimoja nimeona kinawatenganisha wanaofaniki…
5 months, 3 weeks ago
#DZK000; Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu.
Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu.
Rafiki,
Ujio wa Akili Mnemba (AI) umeleta mapinduzi na manufaa makubwa.
Lakini pia umekuja na hatari ya kupot…
5 months, 3 weeks ago
#DZK009; Hakuna Mbadala Wa Ubora Wa Juu Kwenye Mafanikio Makubwa
🔥 UTAJIRI, HESHIMA NA FURSA HAVIENDI KWA WATU WA KAWAIDA.
Dunia inakulipa kwa kiwango cha UBORA unaouonyesha kila siku.
Kila jambo lina maana. Kila t…
5 months, 3 weeks ago
#DZK008; Fanya Kwa Kupitiliza
🔥 Watu wengi wanabaki wa kawaida kwa sababu wanaogopa kuonekana “wamepitiliza.”
Ukitaka fedha kubwa, mafanikio makubwa, na maisha makubwa… lazima uku…
5 months, 3 weeks ago
#DZK007; Usipojipanga, Utapangwa.
🔥 WATU WENGI HAWAISHI MAISHA YAO… WANATEKELEZA MAAGIZO YA JAMII.
Ukikosa kuchagua maisha yako, dunia itakuchagulia.
Ukikosa kusudi lako, utaishi kwa …
5 months, 3 weeks ago
#DZK006; Swali Pekee Litakalokukomboa Kimafanikio
🚨 UCHOVU WAKO HAUTOKANI NA KAZI NYINGI… BALI VITU VISIVYO NA MAANA! 🚨
Watu wengi wako bize…
Lakini maisha yao hayasogei mbele. 😔
📌 Maneno mengi yasiy…
5 months, 4 weeks ago
#DZK005; Jua Hasa Unachotaka, Uwe Hatari Kwenye Mafanikio
⚠️🧠 UKIJUA HASA UNACHOTAKA, UNAKUWA MTU HATARI SANA KWENYE MAFANIKIO
Watu wengi wanaishi maisha ya kuchoka, kuhangaika na kuzunguka sehemu moja,
Kwa …
5 months, 4 weeks ago
#DZK004; Akili Tulivu Ndiyo Silaha Ya Mafanikio Makubwa
😰🧠 JE, MATATIZO YANAKUNYIMA USINGIZI?
Watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana uwezo.
Wanashindwa kwa sababu akili zao zimejaa mawazo, hofu, na wasiw…
5 months, 4 weeks ago
#DZK003; Endea Ndoto Zako Kwa Ujasiri Mkubwa
🚀 NDOTO ZAKO HAZITATIMIA KWA KUZITAMANI TU.
Mwandishi Henry David Thoreau aliandika:
“Ukisonga kwa ujasiri kuelekea ndoto zako, na kuamua kuishi mais…
6 months ago