Podcast Episodes
Back to Search
#DZK002; Salama Ni Hatari Zaidi Kwa Mafanikio Yako.
🔥💰 NJIA INAYOONEKANA SALAMA NDIYO HATARI KUBWA ZAIDI! ⚠️🚀
Watu wengi wanaogopa kuacha ajira, kuanza biashara, kuhama kwenda sehemu mpya, au kujitoa k…
6 months ago
#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI
🔥 MAMBO YANAPOHARIBIKA, USISEME “KWA NINI MIMI?” — SEMA NENO MOJA TU: VIZURI.
Umekataliwa? VIZURI.
Umepoteza fedha? VIZURI.
Biashara imeshuka? VIZURI…
6 months ago
#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI
🔥 MAMBO YANAPOHARIBIKA, USISEME “KWA NINI MIMI?” — SEMA NENO MOJA TU: VIZURI.
Umekataliwa? VIZURI.
Umepoteza fedha? VIZURI.
Biashara imeshuka? VIZURI…
6 months ago
JINSI YA KUEPUKA KUTAPELIWA NA FURSA MPYA.
Kila siku kuna fursa mpya zinazoibuka, baadhi ya fursa hizo ni za kweli na nyingi ni za uongo na utapeli. Watu wengi wameumizwa na fursa walizokimbil…
9 years, 9 months ago
KITU KIKUBWA KUHUSU MAFANIKIO TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WANAJESHI
Kuna kitu kimoja kikubwa tunaweza kujifunza kutoka kwa wanajeshi kuhusu mafanikio. Kitu hicho haijalishi unaanzia wapi au una elimu kiasi gani. Sikil…
9 years, 9 months ago
AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.
Muda umekuwa ni changamoto na kikwazo kwa wengi kufikia malengo yao ya kimaisha. Kila siku tumekuwa tunasema kama ningekuwa na muda wa ziada ninge...…
9 years, 9 months ago
UNA MUDA WA KUTOSHA
Muda umekuwa changamoto kwa wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Wengi wanasema hawana muda, au wakipata muda watafanya kitu fulani. Ukweli ni kwamba h…
9 years, 9 months ago
SAA MOJA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKO
Katika masaa 24 ya siku, unahitaji kutenga saa moja kwa ajili yako binafsi. Kwa kuweza kuitumia vizuri saa hii moja utaweza kuwa na maisha bora yenye…
9 years, 10 months ago
Hakuna Maisha Kama Hakuna Mabadiliko
Mabadiliko ni kitu ambacho kinapaswa kufanywa kila siku na kila mtu.
Kama unataka kuboresha maisha yako, lazima ubadili kitu kila siku.
Sikiliza kipind…
10 years, 1 month ago
Fukuza Wateja Hawa.
Siyo kila mtu anaweza kuwa mteja wa biashara yako.Unahitaji kuchagua aina ya wateja ambao utafanya nao biashara na kujua wateja ambao unahitaji kuwae…
10 years, 1 month ago