Podcast Episodes

Back to Search
#DZK012; Mfurahishe Mtu Huyu Mmoja Pekee Ili Ufanikiwe.
#DZK012; Mfurahishe Mtu Huyu Mmoja Pekee Ili Ufanikiwe.

Unajiangusha sana wewe mwenyewe.

Rafiki,
Kila unachofanya kwenye maisha yako, una bet kwenye furaha.

Unadhani utakuwa na furaha zaidi kwa kufanya kit…

5 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
#DZK011; Usivurugwe Na Mapenzi Kwenye Safari Ya Mafanikio.
#DZK011; Usivurugwe Na Mapenzi Kwenye Safari Ya Mafanikio.

Makosa Ya Kufanya Unachopenda.

Rafiki,
Ushauri wa mtu kufanya kile anachopenda ndiyo afanikiwe umewapoteza wengi sana.

Kwenye mengi ambayo watu wanap…

5 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
#DZK010; Vigezo Viwili Vya Kuamua Cha Kufanya Ili Ufanikiwe.
#DZK010; Vigezo Viwili Vya Kuamua Cha Kufanya Ili Ufanikiwe.

Kama Unachofanya Kinakidhi Vigezo Hivi 2, Wapuuze Wanaokupinga.

Rafiki,
Safari ya mafanikio ina vikwazo na changamoto nyingi.

Kuna miluzi mingi sana,…

5 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
#DZK009; Chagua Kwa Usahihi Kitakachokuua.
#DZK009; Chagua Kwa Usahihi Kitakachokuua.

KUBALI MAFANIKIO MAKUBWA YAKUUE.

Rafiki,
Kabla hujashtushwa na hilo,
Nikukumbushe tu kwamba, *utakufa*.

Na hutakufa tu hivi hivi, bali kuna kitu kita…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
#DZK008; Mafanikio Ni Kujua Hujui.
#DZK008; Mafanikio Ni Kujua Hujui.

MAFANIKIO NI KUJUA HUJUI.

Rafiki,
Unapoianza safari ya mafanikio, unakuwa hujui na hivyo unajifunza.

Unapoanza kupata mafanikio, unaanza kuona tayari…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
#DZK007; Usikubali Kushindwa Na Yeyote
#DZK007; Usikubali Kushindwa Na Yeyote

USIKUBALI KUSHINDWA NA YEYOTE.

Rafiki,
Ushindani ni sehemu ya safari yako ya mafanikio.

Lolote utakalofanya na kuleta matokeo mazuri, watu watakuiga.…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
#DZK006; Pesa Inaweza Kununua Furaha.
#DZK006; Pesa Inaweza Kununua Furaha.

PESA INAWEZA KUNUNUA FURAHA

Rafiki,
Najua umeaminishwa kwamba utajiri hauwezi kukupa furaha.

Na hiyo ndiyo sababu unakosa vyote, unakosa utajiri na p…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
#DZK005; Baki Na Njaa Kali Ya Mafanikio Milele
#DZK005; Baki Na Njaa Kali Ya Mafanikio Milele

BAKI NA NJAA KALI YA MAFANIKIO.

Rafiki,
Unapokuwa unaanzia chini, unakuwa na njaa kali ya mafanikio.

Njaa hiyo inakusukuma kufanya mambo makubwa na k…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
#DZK004; Endelea Na Safari Ya Mafanikio Hata Mambo Yanapokuwa Magumu.
#DZK004; Endelea Na Safari Ya Mafanikio Hata Mambo Yanapokuwa Magumu.

ENDELEA HATA KAMA MAMBO NI MAGUMU

Rafiki,
Safari ya mafanikio makubwa haijawahi kuwa rahisi.

Unaweza kujua unachotaka na ukaweka juhudi kubwa.

Lakini…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
#DZK003; Furahia Kutokueleweka Na Wengine
#DZK003; Furahia Kutokueleweka Na Wengine

Furahia Kutokueleweka Na Wengine.

Rafiki,

Utakapofanya zoezi la *KWA NINI SABA* na ukalijua kusudi la maisha yako na ndoto zako kubwa,

Utagundua kwam…

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us