Episode Details
Back to Episodes
#DZK012; Mfurahishe Mtu Huyu Mmoja Pekee Ili Ufanikiwe.
Published 5 months, 1 week ago
Description
Unajiangusha sana wewe mwenyewe.
Rafiki,
Kila unachofanya kwenye maisha yako, una bet kwenye furaha.
Unadhani utakuwa na furaha zaidi kwa kufanya kitu hicho kuliko kutokukifanya.
Mara nyingi, unashindwa kwenye kubet kwako, kwa sababu unaweka dau lako pasipo sahihi.
Unaweka dau lako kwenye kutaka kuwafurahisha wengine.
Wakati hilo ni jukumu usiloliweza kabisa.
Una jukumu moja tu hapa duniani, kujifurahisha wewe mwenyewe.
Ukilitimiza hilo, utapata kila unachotaka.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kujipa furaha bila ya kujiona mwenye hatia.
Nimekuweka huru uyafurahie maisha yako, hata kama bado hayajakamilika.
Karibu uisome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Jibetie wewe mwenyewe kwenye furaha yako,
Na mkeka wako wa mafanikio utatiki.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.