Episode Details

Back to Episodes
#DZK005; Baki Na Njaa Kali Ya Mafanikio Milele

#DZK005; Baki Na Njaa Kali Ya Mafanikio Milele

Published 5 months, 2 weeks ago
Description
BAKI NA NJAA KALI YA MAFANIKIO.

Rafiki,
Unapokuwa unaanzia chini, unakuwa na njaa kali ya mafanikio.

Njaa hiyo inakusukuma kufanya mambo makubwa na kupata matokeo makubwa.

Lakini unapoanza kupata matokeo mazuri, hiyo njaa inaondoka.

Na hapo ndipo anguko la wengi linapoanzia.

Kama unataka kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa, unatakiwa kubaki na njaa kali ya mafanikio uliyoanza nayo.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha jinsi ya kufanya hivyo.

Isome barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us