Episode Details

Back to Episodes
#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI

#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI

Published 6Β months ago
Description
πŸ”₯ MAMBO YANAPOHARIBIKA, USISEME β€œKWA NINI MIMI?” β€” SEMA NENO MOJA TU: VIZURI.

Umekataliwa? VIZURI.

Umepoteza fedha? VIZURI.

Biashara imeshuka? VIZURI.

Mpango umefeli? VIZURI.

Changamoto zimeongezeka? VIZURI.

Ndani ya kila tatizo kuna somo. Ndani ya kila hasara kuna fursa.

Ndani ya kila maumivu kuna nguvu mpya ya kukufanya uwe bora zaidi.

Kama bado unapumua, bado unaweza kupigana.
Kama bado unaweza kupigana, bado unaweza kushinda.

Soma #BaruaYaKocha ujifunze kwa nini washindi wa kweli huona mema hata katikati ya matatizo makubwa.

πŸ’ͺ VIZURI.
πŸš€ INUKA.
🧠 REKEBISHA.
πŸ”₯ SHAMBULIA TENA.
πŸ† USHINDI BADO UNAWEZEKANA.

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us