Episode Details

Back to Episodes
#DZK002; Salama Ni Hatari Zaidi Kwa Mafanikio Yako.

#DZK002; Salama Ni Hatari Zaidi Kwa Mafanikio Yako.

Published 6Β months ago
Description
πŸ”₯πŸ’° NJIA INAYOONEKANA SALAMA NDIYO HATARI KUBWA ZAIDI! βš οΈπŸš€

Watu wengi wanaogopa kuacha ajira, kuanza biashara, kuhama kwenda sehemu mpya, au kujitoa kikamilifu kwenye ndoto zao kwa sababu wanaona ni hatari kubwa. 😨

Lakini ukweli ni huu:

🚫 Kutochukua hatua ndiyo hatari kubwa zaidi.
🚫 Kubaki ulivyo ndiyo hatari kubwa zaidi.
🚫 Kuchelewesha ndoto zako ndiyo hatari kubwa zaidi.
🚫 Kuchagua salama ndiyo hatari kubwa zaidi.

πŸ’Ž Wakati wengine wanaona hatari, wewe unatakiwa kuona fursa.

πŸ“– Kwenye #BaruaYaKocha, utajifunza kwa nini hatua unayoogopa leo inaweza kuwa ndiyo daraja la utajiri mkubwa kesho.

πŸ”₯ Kwa mtu mwenye ndoto kubwa, salama ndiyo hatari kubwa zaidi.

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us