Episode Details

Back to Episodes
#DZK006; Swali Pekee Litakalokukomboa Kimafanikio

#DZK006; Swali Pekee Litakalokukomboa Kimafanikio

Published 5Β months, 4Β weeks ago
Description
🚨 UCHOVU WAKO HAUTOKANI NA KAZI NYINGI… BALI VITU VISIVYO NA MAANA! 🚨

Watu wengi wako bize…
Lakini maisha yao hayasogei mbele. πŸ˜”

πŸ“Œ Maneno mengi yasiyo na faida.
πŸ“Œ Mijadala isiyo na matokeo.
πŸ“Œ Simu na mitandao inayomeza muda.
πŸ“Œ Watu wanaonyonya nguvu na umakini wako.

Kwenye #BaruaYaKocha utajifunza:
πŸ”₯ Kwa nini maisha yako yamejaa kelele zisizo muhimu
πŸ”₯ Jinsi ya kupata utulivu, muda na umakini mkubwa
πŸ”₯ Sababu watu wenye mafanikio hujifunza kusema HAPANA
πŸ”₯ Swali moja rahisi linaloweza kubadilisha maisha yako kabisa

⚠️ Ukimaliza kusoma barua hii, hutatazama muda wako kwa namna ileile tena.

SOMA SASA. 🧠πŸ”₯

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us