Episode Details
Back to Episodes
#DZK005; Jua Hasa Unachotaka, Uwe Hatari Kwenye Mafanikio
Published 5Β months, 4Β weeks ago
Description
β οΈπ§ UKIJUA HASA UNACHOTAKA, UNAKUWA MTU HATARI SANA KWENYE MAFANIKIO
Watu wengi wanaishi maisha ya kuchoka, kuhangaika na kuzunguka sehemu moja,
Kwa sababu hawajajua hasa wanataka nini.
Nguvu zao zinatawanyika kila upande. π
Lakini siku utakapojua hasa unachotaka kwenye maisha yakoβ¦
Unakuwa MTU HATARI sana kwenye mafanikio. π₯π£
Unaanza kuona usumbufu kama adui. β
Unaanza kutumia muda kwa makusudi. β³
Unaanza kufanya maamuzi makubwa bila kuogopa. π―
Na maisha yako yanaanza kwenda mbele kwa kasi ambayo watu hawaielewi. π
#BaruaYaKocha itakufungua macho kuhusu nguvu kubwa ya kuwa na mwelekeo mmoja wa maisha.
Soma kwa makini sana. ππ₯
Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.