Episode Details

Back to Episodes
#DZK009; Hakuna Mbadala Wa Ubora Wa Juu Kwenye Mafanikio Makubwa

#DZK009; Hakuna Mbadala Wa Ubora Wa Juu Kwenye Mafanikio Makubwa

Published 5Β months, 3Β weeks ago
Description
πŸ”₯ UTAJIRI, HESHIMA NA FURSA HAVIENDI KWA WATU WA KAWAIDA.

Dunia inakulipa kwa kiwango cha UBORA unaouonyesha kila siku.

Kila jambo lina maana. Kila tabia ina gharama. Kila uzembe unakupunguzia thamani.

⚠️ Watu wengi wanataka maisha makubwa huku wakifanya vitu kwa kiwango cha chini.
Na hapo ndipo wanapopoteza kila kitu bila kujua.

#BaruaYaKocha itakufundisha kwa nini:
βœ… Ubora ni mfumo wa maisha
βœ… Dunia inakuhukumu kwa sehemu yako mbaya zaidi
βœ… Mambo madogo ndiyo yanayojenga mafanikio makubwa
βœ… Watu wa kiwango cha juu hawaishi kwa mazoea

πŸ’₯ Kama unataka kuingia kwenye asilimia 10 ya watu wanaofanya vizuri sana, usikose kusoma barua hii.

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us