Episode Details

Back to Episodes
#DZK003; Endea Ndoto Zako Kwa Ujasiri Mkubwa

#DZK003; Endea Ndoto Zako Kwa Ujasiri Mkubwa

Published 6Β months ago
Description
πŸš€ NDOTO ZAKO HAZITATIMIA KWA KUZITAMANI TU.

Mwandishi Henry David Thoreau aliandika:

β€œUkisonga kwa ujasiri kuelekea ndoto zako, na kuamua kuishi maisha unayoyawazia, utakutana na mafanikio ambayo watu wengi hawakuyatarajia.”

πŸ”₯ Hii ndiyo siri ya mafanikio makubwa.

Watu wengi wana ndoto.
Wachache wanaanza.
Na wachache zaidi wanaendelea mpaka washinde.

πŸ’‘ Ukisubiri mpaka ujisikie tayari, unaweza kusubiri maisha yako yote.

πŸ’‘ Ukianza leo, dunia inaweza kukufungulia milango usiyowahi kuifikiria.

πŸ’‘ Mafanikio huwapenda watu wenye ujasiri wa kuchukua hatua.

πŸ“ˆ Ndoto kubwa.
πŸ’ͺ Ujasiri mkubwa.
🚢 Hatua za kila siku.
πŸ† Mafanikio makubwa.

Usikubali ndoto zako zife ndani yako.

Soma #BaruaYaKocha ujifunze jinsi ya kusonga kwa ujasiri kuelekea maisha uliyokusudiwa kuishi.

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us