Podcast Episodes
Back to Search
#DZK052; Turudi Kwenye Ujenzi Ili Tujenge Mafanikio Makubwa Na Ya Kudumu.
Acha Kufanya, Anza Kujenga.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Unaweka juhudi kubwa sana kila siku,
Unafanya kwa muda mrefu,
Unapat…
3 months, 3 weeks ago
#DZK051; Kuwa Mkamilifu Ujenge Mafanikio Yanayodumu.
Jenga Huu Ukamilifu Ufanikiwe.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa inataka mtu uwe mkamili…
3 months, 3 weeks ago
#DZK050; Ushauri Sahihi Na Unaofanya Kazi Mara Zote.
Epuka Huu Ushauri Unaokupotosha.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Umekuwa unahangaika na ushauri mwingi,
Ambao unakinzana wenyewe…
3 months, 3 weeks ago
#DZK049; Pandisha Kodi Ya Pango Kwenye Akili Yako Ufanikiwe.
Acha Kuifanya Akili Yako Kuwa Jalala.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Akili yako ni mgodi wa dhahabu.
Ina uwezo wa kukupa makubw…
3 months, 3 weeks ago
#DZK048; Mafanikio Yako Yanaamuliwa Na Madhaifu Na Siyo Uimara.
Madhaifu Yanakukwamisha Sana.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Umekuwa unapambana sana,
Lakini bado unakwama.
Siyo kwa sababu huw…
3 months, 4 weeks ago
#DZK047; Kwa Nini Unaendelea Kuyang'ang'ania Maisha Mpaka Sasa?
Kwa Nini Hujachukua Njia Ya Mkato Kumaliza Shida Zako?
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kwenye maisha yako umepitia shida na chan…
3 months, 4 weeks ago
#DZK046; Rasilimali Za Msingi Unazo Za Kutosha, Zitumie Vizuri Ufanikiwe.
Tatizo Unachezea Matirio.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Najua unasema hujafanikiwa kwa sababu unakosa rasilimali unazotaka.
Un…
4 months ago
#DZK045; Usiwabishie Watu Wanapokuonyesha Ukweli Wao.
Watu Hawakudanganyi, Unajidanganya Mwenyewe.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Najua umekuwa unalalamika pale watu wanapokudangany…
4 months ago
#DZK044; 'Dogosha' Malengo Yako Uyafikie Kwa Uhakika.
Dogosha Malengo Yako Uyafikie.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Najua una malengo na mipango mikubwa sana.
Na umekuwa unakazana s…
4 months ago
#DZK043; Hakuna Kushindwa, Futa Neno Hilo Ufanikiwe.
Kushindwa Ni Uongo.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kuna uongo mmoja ambao jamii imekuaminisha na wewe umeamini.
Kuhusu kushindw…
4 months ago