Episode Details
Back to Episodes
#DZK051; Kuwa Mkamilifu Ujenge Mafanikio Yanayodumu.
Published 3 months, 3 weeks ago
Description
Jenga Huu Ukamilifu Ufanikiwe.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa inataka mtu uwe mkamilifu sana.
Na sisi binadamu siyo wakamilifu.
Tuna madhaifu mengi yanayotukwamisha kufanikiwa.
Lakini kuna habari njema,
Kuna ukamilifu ambao upo ndani ya uwezo wako kujijengea.
Ukiwa na ukamilifu huo, kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa inakuwa uhakika.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kujenga ukamilifu huo.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Usikubali kujizuia kufanikiwa kwa madhaifu yako, jenga ukamilifu ufanikiwe.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.