Episode Details
Back to Episodes
#DZK050; Ushauri Sahihi Na Unaofanya Kazi Mara Zote.
Published 3 months, 3 weeks ago
Description
Epuka Huu Ushauri Unaokupotosha.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Umekuwa unahangaika na ushauri mwingi,
Ambao unakinzana wenyewe.
Upande mmoja unashauriwa hivi,
Upande mwingine unashauriwa kinyume na hivyo.
Unajikuta njia panda na usijue cha kufanya.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha ushauri sahihi na wa msingi kwenye maeneo muhimu kama fedha, kazi, muda na afya.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Fuata ushauri sahihi na wa msingi badala ya kuhangaika na mengi yanayokupotosha.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.