Episode Details
Back to Episodes
#DZK048; Mafanikio Yako Yanaamuliwa Na Madhaifu Na Siyo Uimara.
Published 3 months, 4 weeks ago
Description
Madhaifu Yanakukwamisha Sana.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Umekuwa unapambana sana,
Lakini bado unakwama.
Siyo kwa sababu huwezi kufanikiwa,
Bali kwa sababu hujajua nguvu ya madhaifu yako kwenye kukukwamisha.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi unavyopaswa kuyazuia madhaifu yasiwe kikwazo.
Isome barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Madhaifu yana nguvu kubwa ya kukukwamisha, yadhibiti yasiwe kikwazo.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.