Episode Details
Back to Episodes
#DZK049; Pandisha Kodi Ya Pango Kwenye Akili Yako Ufanikiwe.
Published 3 months, 3 weeks ago
Description
Acha Kuifanya Akili Yako Kuwa Jalala.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Akili yako ni mgodi wa dhahabu.
Ina uwezo wa kukupa makubwa sana unayoyataka.
Lakini umegeuza mgodi huo kuwa jalala,
Kwa kuruhusu kila kitu kiingie.
Matokeo yake ni unachoka,
Huku ukishindwa kupiga hatua unazotaka.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekueleza jinsi ya kupandisha kodi ya pango kwenye akili yako, ili uepuke yasiyo na tija na kujenga makubwa.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Thamini na linda akili yako, iweze kukupa matokeo makubwa.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.