Episode Details
Back to Episodes
#DZK047; Kwa Nini Unaendelea Kuyang'ang'ania Maisha Mpaka Sasa?
Published 3 months, 4 weeks ago
Description
Kwa Nini Hujachukua Njia Ya Mkato Kumaliza Shida Zako?
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kwenye maisha yako umepitia shida na changamoto mbalimbali.
Nyingine zimekufikisha mpaka kwenye hali ya kukata tamaa.
Na kuona hakuna namna ya kutoka kwenye hali hizo.
Lakini pamoja na hayo yote, hujachukua njia ya mkato, ya kukatisha maisha yako ili kumaliza shida zako.
Kwa maneno mengine ni mpaka sasa hujajiua, licha ya kupitia magumu.
Unajua kwa nini?
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ambavyo wewe kuwa hai mpaka sasa ina maana na kusudi kubwa kwenye maisha yako.
Unaweza kuwa unachukulia kawaida tu, lakini ni kitu chenye maana kubwa.
Karibu ujifunze kwenye barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Uko hai mpaka sasa kwa sababu bado una wajibu mkubwa wa kutimiza.
Timiza wajibu huo maisha yako yawe na maana kubwa.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.