Podcast Episodes
Back to Search
Australia yafafanuliwa:tahadhari kuhusu hatari za moto joto linapoongezeka
Utabiri wa hivi karibuni wa majaliwa ya moto wa nyika unatabiri hatari kubwa ya moto katika sehemu mbalimbali za Australia msimu huu wa kiangazi. Lic…
7 months ago
Australia yafafanuliwa:Umoja wa mataifa wachunguza utaratibu wa kizuizi cha wahamiaji Australia
Utawala wa mamlaka ya uhamiaji wa Australia unachunguzwa na Umoja wa Mataifa wiki hii. Kikundi Kazi cha U-N juu ya Kuzuia Kiholela uhuru kinachunguza…
7 months ago
Taarifa ya habari:serikali kuendeleza mpango wa kuboresha AI nchini Australia
Na katika taarifa zetu leo: *watu kumi na watatu wakamatwa HongKong kuhusiana na moto mkubwa wiki iliyopita. *serikali kuendeleza mpango wa kuboresha…
7 months, 1 week ago
Yaliyojiri Afrika:rais Museveni akosa kuhudhuria mdahalo wa rais Uganda
Jason Nyakundi atujuza yanliyojiri Afrika
7 months, 1 week ago
Wanafunzi wa kimataifa watahadhariwa kuhusu kazi za likizo
Mwaka wa masomo unapokamilika, maelfu ya wanafunzi wa kimataifa wanaandikishwa kwa kazi za likizo. Hata hivyo, iwapo mambo yataenda kombo, wataalam w…
7 months, 1 week ago
Jinsi utovu wa sheria Israel unaathiri wakulima wa Palestine
Kwa mtengenezaji wa mvinyo wa Kipalestina kutoka Australia, Sari Kassis, ukweli wa kilimo katika Ukingo wa Magharibi ni hali ya hatari ya kila wakati…
7 months, 1 week ago
Bei za upangaji zinaendelea kupanda wakati gharama ya maisha inaongezeka
Licha ya viwango vya riba kutulia, stress ya kodi bado haijabadilika kote Australia. Katika miji mingi mikubwa, kaya bado zinatoa karibu theluthi moj…
7 months, 1 week ago
Taarifa ya habari: Moto Hongkong umeingia siku ya pili,mamia bado hawajapatikana
Fuata tovuti yetu sbs.com.au/swahili kwa habari na maelezo zaidi
7 months, 1 week ago
Yaliyojiri Afrika:Guinea-bissau yakumbwa na mapinduzi ya jeshi
Jason Nyakundi ni mwanahabari kutoka Nairobi,Kenya na anatujuza yanayoendelea Afrika wiki hii.
7 months, 1 week ago
Australia yafafanuliwa:waathiriwa wa ukatili wa kijinsia wahimizwa kuripoti
Mmoja kati ya wanawake watano na mmoja kati ya wanaume kumi na sita wamekumbwa na ukatili wa kingono wakiwa watu wazima huko Australia, kulingana na …
7 months, 2 weeks ago