Podcast Episodes

Back to Search
Matokeo ya Cronulla 2005 yakumbukwa kwa hisia mchanganyiko

Miaka ishirini iliyopita, maelfu walikusanyika kwenye kitongoji cha pwani cha Cronulla huko Sydney, kwa kile kilichogeuka kuwa mkutano wa vurugu dhid…

7 months ago

Short Long
View Episode
Wataalamu waonya kuwa msimu wa moto umeanza tunapotarajia joto kuongezeka

Katika wiki za hivi karibuni, moto wa nyika umesababisha uharibifu wa nyumba na mali katika maeneo ya pwani ya katikati ya kaskazini ya New South Wal…

7 months ago

Short Long
View Episode
Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa

Kuna mambo mengi ya kushughulikia wakati huu wa mwaka, na milo yetu inaweza kuja na upande wa magonjwa. Baraza la Habari za Usalama wa Chakula la Aus…

7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya habari:serikali ya Australia yaomba msamaha rasmi kwa watu wa mataifa ya kwanza leo

Baadhi ya habari zinazojumuisha taarifa yetu leo, *Victoria inatarajiwa kutoa msamaha kwa watu wa mataifa ya kwanza leo *Serikali ya Northern territo…

7 months ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:mapigano kati ya waasi wa M-23 na jeshi la DRC yaendelea

Jason Nyakundi anatujuza kinachoendelea Afrika. Kwa maelezo zaidi elekea kwa tovuti yetu ya sbs.com.au/swahili.

7 months ago

Short Long
View Episode
Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia
Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia

Kadri msimu wa ununuzi wa sherehe unapoanza, wauzaji wanajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani. Nchini Australia kote, wizi umefikia kiwango cha juu …

7 months ago

Short Long
View Episode
Australia kupiga marufuku mitandao ya jamii kwa walio chini ya umri 16
Australia kupiga marufuku mitandao ya jamii kwa walio chini ya umri 16

Kuanzia Jumatano wiki hii, Australia itakuwa nchi ya kwanza duniani kupiga marufuku watu walio chini ya umri wa miaka 16 kuwa na akaunti za mitandao …

7 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya habari:Keir Starmer amlaumu Vladimir Putin kwa kifo cha mwanamke mwaka 2018
Taarifa ya habari:Keir Starmer amlaumu Vladimir Putin kwa kifo cha mwanamke mwaka 2018

Kwa taarifa zaidi tunakuelekeza katika tovuti ya sbs.com.au/swahili.

7 months ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:Rwanda na DRC wamesaini makubaliano ya amani
Yaliyojiri Afrika:Rwanda na DRC wamesaini makubaliano ya amani

Jaon Nyakundi anatujuza kinachoendelea Africa.

7 months ago

Short Long
View Episode
Mfumo wa kiufundi umeundwa kubadilisha taka kuwa bidhaa zinazoweza kutumika
Mfumo wa kiufundi umeundwa kubadilisha taka kuwa bidhaa zinazoweza kutumika

Nchini Australia, karibu tani milioni 7.6 za chakula zinapotezwa kila mwaka. Mwanzilishi mmoja wa kike ameunda suluhisho ndani ya sanduku.Linapokuja …

7 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us