Podcast Episodes
Back to Search
Yaliyojiri Afrika:Uganda yajiandaa kwa uchaguzi mkuu Alhamisi
Mwanahabari Jason Nyakundi anatujuza yanayoendelea Afrika. Tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili kwa maelezo au habari zaidi.
5 months, 4 weeks ago
Makala leo:utafiti unaonyesha miti kote Australia inakufa kwa kasi zaidi,hali inayochangia kaboni
Utafiti mpya umebaini kuwa miti kote Australia inakufa kwa kasi zaidi kuliko inavyokua, hali ambayo inachangia ongezeko la utoaji wa kaboni. Utafiti …
5 months, 4 weeks ago
Makala leo:Je,uangalizi wa ndege ni jambo maarufu miongoni mwa vijana sasa hivi?
Mnapofikiria kutazama ndege, labda mnawazia wastaafu. Lakini kizazi kipya kinaanza kutumia darubini na kujihusisha na burudani hii. Kile kilichokuwa …
5 months, 4 weeks ago
Taarifa ya habari:Tume ya kifalme yazinduliwa kuchunguza chuki dhidi ya wayahudi
**WAZIRI MKUU ANTONY ALBANESE AZINDUA TUME YA KIFALME YA KUCHUNGUZA TUME YA KIFALME YA KUCHUNGUZA KESI ZA CHUKI DHIDI YA WAYAHUDI AUSTRALIA. **MAWIO …
6 months ago
Yaliyojiri Afrika:kapteni Ibrahim Traore anusurika jaribio jingine la mapinduzi
Kwa habari au maelezo zaidi tembelea sbs.com.au/swahili.
6 months ago
Afya:wataalamu waonya dhidi ya madhara ya kuchanganya mipango mbalimbali ya lishe
Mipango ya lishe kama vile Foodmap, yenye protini nyingi, isiyo na gluten, yenye mafuta kidogo, na kula chakula safi - kuna mipango mingi sana ya lis…
6 months ago
Makala leo:wazazi wapata afueni baada ya serikali kupunguza gharama za vituo vya malezi ya watoto
Wazazi wanaopeleka watoto kwenye vituo vya malezi wana uhakika wa kupata ruzuku ya asilimia 90 kwa siku tatu za wiki, bila kupitia mchakato wowote wa…
6 months ago
Taarifa ya habari:Maduro na mkewe wakanusha mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya na silaha jijini New York
** Rais wa Venezuela Nicolas Maduro na mkewe walikana hatia katika mahakama ya Marekani. ** Mtu anayedaiwa kuwa mfyatuliwa wa risasi Bondi amehamishw…
6 months ago
Yaliyojiri Afrika:Ushahidi mpya waonyesha kuwepo kwa jeshi la Rwanda DRC
Jason anatujuza yanayojiri pande mbali mbali Afrika, Kwa habari zaidi elekea kwa tovuti yetu sbs.com.au/swahili.
6 months ago
Yaliyojiri Afrika:Nini kipya mwaka 2026?
Kwa taarifa zaidi elekea katika mitandao yetu ya kijamii au pia tovuti yetu sbs.com.au/swahili.
6 months ago