Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya habari:Wanachama wa National wajiuzulu kufuatia sheria tata za hotuba za chuki
Taarifa ya habari:Wanachama wa National wajiuzulu kufuatia sheria tata za hotuba za chuki

**Polisi wamsaka mtuhumiwa wa mauaji New South Wales ** Waustralia hamsini na tatu wataiwakilisha taifa kwenye Michezo ya Olimpiki **Na tamasha ya mu…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Makala:Serikali ya Victoria kuendelea na ubomozi wa nyumba za umma licha ya upinzani
Makala:Serikali ya Victoria kuendelea na ubomozi wa nyumba za umma licha ya upinzani

Katika wakati wa mgogoro wa makazi na gharama za maisha, serikali ya Victoria iko katika mchakato wa kubomoa minara yote 44 ya makazi ya umma ya Melb…

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kumuua kiongozi wa upinzani Boby Wine
Yaliyojiri Afrika:Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kumuua kiongozi wa upinzani Boby Wine

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya habari:Nchi za Ulaya zajiandaa kutetea eneo la Denmark
Taarifa ya habari:Nchi za Ulaya zajiandaa kutetea eneo la Denmark

**Papa waendelea kuwashambulia watu huko Sydney ** Rais Donald Trump aendelea na mchakato wake wa kuchukua Greenland **Soko la Samaki la Sydney sasa …

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Makala leo:Mkakati mpya wa usalama wa maji wazinduliwa
Makala leo:Mkakati mpya wa usalama wa maji wazinduliwa

Tangu kuanza kwa kiangazi, watu 33 wamepoteza maisha yao kutokana na kuzama maji huko Australia. Kwa kuwa kuzama maji kunatokea zaidi tangu Janga la …

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Uganda
Yaliyojiri Afrika:Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Uganda

Mwanahabari Jason Nyakundi anatujuza yanayoendelea Afrika. Kwa habari ama maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Makala leo:jinsi ya kutambua na kuepuka ulaghai wa AI
Makala leo:jinsi ya kutambua na kuepuka ulaghai wa AI

Utafiti mpya unaonyesha kwamba Waustralia wanaamini kupita kiasi juu ya uwezo wao wa kutambua ulaghai wa AI deepfake, hata teknolojia inavyoendelea k…

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika:kura zimeanza kuhesabiwa Uganda licha ya matatizo ya kiufundi hapo awali
Yaliyojiri Afrika:kura zimeanza kuhesabiwa Uganda licha ya matatizo ya kiufundi hapo awali

Kwa maelezo au habari zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.su/swahili.

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya habari:tume ya kifalme ya kuchunguza hotuba za chuki yakosa uungwaji mkono
Taarifa ya habari:tume ya kifalme ya kuchunguza hotuba za chuki yakosa uungwaji mkono

** Kikundi cha Kiyahudi kinatoa wito wa mabadiliko na ucheleweshaji wa marekebisho ya hotuba za chuki za serikali... ** Angalau watu watano wameuawa …

5 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya habari:Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Australia nchini Marekani
Taarifa ya habari:Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Australia nchini Marekani

**Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Marekani... **Mlipo wa bomu waua maafisa wa polisi kaskazini mwa Pakistan... **Meta yazua shauku kuhusu Australi…

5 months, 4 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us