Podcast Episodes
Back to Search
Taarifa ya Habari: Akiba itazidi matumizi na kodi katika bajeti ijayo Mweka Hazina aeleza taifa
Mweka Hazina Jim Chalmers amesema bajeti ya shirikisho ya wiki ijayo itakuwa na kikomo chake kikubwa zaidi, wakati akiba ikitarajiwa kuzidi mabadilik…
5 months, 3 weeks ago
Australia Yafafanuliwa: Mbinu zakupunguza gharama ya mafuta
Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia—na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri.
5 months, 4 weeks ago
Taarifa ya Habari: Upinzani waikosoa Serikali ya Madola kwa kuto fanya yakutosha kuimarisha usalama wa taifa
Mbunge wa Upinzani Jonathon Duniam amesema Serikali ya shirikisho lazima iende mbali zaidi ili kuimarisha usalama wa taifa, kufuatia kutolewa kwa rip…
5 months, 4 weeks ago
Yaliyojiri Afrika:Vikosi vya ulinzi vya Uganda vya shtumiwa kwa kuwauwa raia na kuwatesa wafuasi wa upinzani
Shirika lakutetea hazi za binadam la Amnesty International, limevishtumu vikosi vya usalama vya Uganda kwa kuwauwa raia, kuwakamata kiholela na kuwat…
5 months, 4 weeks ago
Makala leo: Ripoti mpya yataka mkakati wa kitaifa kuhusu Akili Bandia mahali pa kazi
Ripoti mpya inasema kwamba Australia haina mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kuenea kwa akili bandia mahali pa kazi.
5 months, 4 weeks ago
Tips to reduce petrol costs | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Mbinu za kupunguza gharama ya petroli | Mafuta Yalengwa
Rising fuel prices are putting pressure on household budgets across Australia, and for many people, it’s changing the way they travel. So what can yo…
6 months ago
Taarifa ya Habari:Burundi yaanza chanjo dhidi ya saratani ya kizazi
Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anahimiza China kuanza tena usafirishaji wa mafuta ya ndege yanayo letwa Australia, baada ya mkutano na mwenzake wa…
6 months ago
Makala leo: Matendo yakuzomea yachafua huduma za alfajiri
Waaustralia wameadhimisha Siku ya Anzac kote nchini na katika fukwe ya Gallipoli nchini Uturuki kuwakumbuka waliohudumu katika jeshi.
6 months ago
Wiki Hii Barani Afrika: Nchi za Afrika Mashariki kujenga kiwanda chakusafisha mafuta Tanga, Tanzania
Baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zime anza mazungumzo kuhusu, ujenzi wa kiwanda chakusafisha mafuta katika bandari ya Tanga, nchini Tanzania.
6 months ago
Taarifa ya Habari: Waasi wa Touareg wachukua udhibiti wa mji wa Kidal nchini Mali
Australia itatumia jumla ya dola bilioni 1.2 kutengeneza mamia ya magari ya kijeshi aina ya Bushmaster, na kuboresha magari yanayo lindwa aina ya Haw…
6 months ago