Podcast Episodes
Back to Search
Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani
Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.
4 months, 3 weeks ago
Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka
Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshi…
4 months, 4 weeks ago
Taarifa ya Habari: Sussan Ley astaafu kutoka siasa
Kiongozi wa upinzani wa kwanza wa kike nchini Australia Sussan Ley ametangaza kuwa amestaafu kutoka siasa.
4 months, 4 weeks ago
Australia yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka
Hali ya mazingira ya joto na ukavu pamoja na mandhari yakipekee, hufanya Australia iwe mojawapo ya nchi zinazo kabiliwa na moto wa vichaka zaidi duni…
4 months, 4 weeks ago
Taarifa ya habari:Ziara ya rais wa Israel Isaac Herzog, yazua utata
**ZIARA YA RAISI WA ISRAEL AUSTRALIA YAZUA UTATA HUKU WAANDAMANAJI NA POLISI WAKIKABILIANA KATIKA MAANDAMANO DHIDI YA RAIS HUYO ** SERIKALI YAZINDUA …
5 months ago
Yaliyojiri Afrika:Rwanda haikubali kutishwa na Marekani
Kwa habari na melezo zaidi, tembelea tovuti ya sbs.com.au.
5 months ago
What actually happened on January 26? - Australia yafafanuliwa:Nini kilifanyika Januari 26?
January 26 is one of the most debated dates in Australia’s history. Often described as the nation’s birthday, the day marks neither the formal foundi…
5 months ago
Makala leo:Australia na Indonesia wasaini mkataba wa usalama
Waziri Mkuu Anthony Albanese amepongeza makubaliano mapya ya usalama na Indonesia kama mabadiliko muhimu kuelekea ushirikiano wa karibu wa ulinzi kat…
5 months ago
Makala leo:Shirika la Haki za Binadamu laonya kuwa demokrasia iko hatarini ikilinganishwa na miaka ya 1980
Demokrasia na utaratibu wa kimataifa unaozingatia sheria ziko hatarini, kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la haki za binadamu ama Human Ri…
5 months ago
Taarifa ya habari:waziri Mkuu Anthony Albanese atasaini mkataba wa kihistoria wa usalama na Rais wa Indonesia
**WAZIRI MKUU ANTHONY ALBANESE YUKO INDONESIA KUSAINI MKATABA WA KIHISTORIA WA USALAMA **MAJESHI YA MAREKANI NA URUSI YATANGAZA KUANZA KUSHIRIKIANA T…
5 months ago