Podcast Episodes
Back to Search
Taarifa ya Habari: SES NSW yapokea simu 450 zakuomba msaada wakati wa mafuriko magharibi mwa Sydney
Mvua kubwa imesababisha mafuriko ya ghafla katika sehemu za Sydney usiku kucha wa Alhamisi hadi Ijumaa, wafanyakazi wakujitolea wa S-E-S wakitoa hudu…
4 months, 2 weeks ago
SBS Learn Eng Ep 102 Jinsi yakuzungumza kuhusu kujipanga
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?
4 months, 2 weeks ago
Makala leo: Tovuti mpya na App ya kuwalinda wanafunzi wa kimataifa nchini Australia
Kwa wanafunzi wa kimataifa wanaosomea nchini Australia, kupata huduma ya afya mara nyingi huonekana kama swala ghali sana... au la kutatanisha sana k…
4 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari: Serikali yaamuru familia za wafanyakazi wa ubalozi nchini Israel na Lebanon kuondoka
Polisi wanaamini kuna watu wengi zaidi wanaohusika, katika utekaji nyara na mauaji ya babu mmoja wa Sydney Chris Baghsarian.
4 months, 2 weeks ago
Yaliyo jiri Afrika: Sudan yaikosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa RSF Daglo
Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.
4 months, 2 weeks ago
Australia Yafafanuliwa: Zaidi ya mtindo: Jinsi mitindo ya Mataifa ya Kwanza inavyokua nchini Australia
Kama ume ishi kwa muda wowote nchini Australia, labda umegundua jinsi maisha yalivyo na utulivu.
4 months, 2 weeks ago
Makala leo: Ubaguzi wa rangi wabainika kuwa umeenea na niwa kimfumo katika vyuo vikuu vya Australia
Ripoti ya kwanza ya kitaifa kuhusu ubaguzi wa rangi katika vyuo vikuu nchini Australia imegundua kuwa ni tatizo lililo enea na la kimfumo.
4 months, 2 weeks ago
How to recover from bushfires - Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka
Australia’s hot, dry climate and unique landscapes make it one of the most bushfire-prone countries in the world. As climate change drives higher tem…
4 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari: Hali mbaya ya hewa yaweka sehemu nyingi nchini katika hali ya tahadhari
Sehemu nyingi za Australia ziko katika hali ya juu ya tahadhari, hali mbaya ya hewa na mvua zikiendelea kuathiri jamii na kuharibu njia muhimu za usa…
4 months, 2 weeks ago
Yaliyo jiri Afrika: Wakenya waanza kuwatafuta jamaa wao walio ajiriwa na jeshi la Urusi
Takriban idadi yawa Kenya 1,000 wameajiriwa kupigania Urusi, kulingana na ripoti ya ujasusi ya Kenya inayoelezea mtandao wa maafisa wahalifu wanaodai…
4 months, 2 weeks ago