Podcast Episodes
Back to Search
Australia Yafafanuliwa: Jinsi makazi ya umma na ya kijamii yanavyo tumiwa nchini Australia
Kupata mahali pa kuishi pazuri na pa bei nafuu kunazidi kuwa vigumu kwa watu wengi kote Australia.
4 months ago
SBS Learn Eng Ep104 Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?
4 months ago
Taarifa ya Habari: DFAT yatuma timu kuwasaidia Waaustralia waliokwama Mashariki ya Kati
Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Penny Wong amesema dunia ina wasiwasi kuhusu jinsi Iran inavyo jibu mashambulizi ya Marekani na Israel yaliyomuua…
4 months ago
Jay "Marekani iki kuambia wanataka mfanye mazungumzo jua nyuma ya pazia wanapanga kitu fulani"
Siku kadhaa baada ya Israel na Marekani kuanza mashambulizi yao dhidi ya Iran, wachambuzi wame anza kuelezea madhara ya vita hivyo katika kanda hiyo …
4 months, 1 week ago
Taarifa ya Habari: Australia haishiriki katika vita dhidi ya Iran, Waziri wa Ulinzi aeleza vyombo vya habari
Waziri wa Ulinzi Richard Marles amethibitisha kwamba Australia haishiriki katika hatua za kijeshi zinazoendelea dhidi ya Iran.
4 months, 1 week ago
Yaliyojiri Afrika: Muungano wa Afrika walaani vita dhidi ya iran, waomba vistishwe maramoja
Viongozi kadhaa wa bara la Afrika wameungana na Muungano wa Afrika kulaani vita vinavyo endelezwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.
4 months, 1 week ago
Makala leo: Wairani-Waaustralia waomba demokrasia baada ya mashambulizi ya Marekani na Israeli
Wairani-Waaustralia wanaelezea hisia mseto kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran, pamoja na mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Kha…
4 months, 1 week ago
Taarifa ya habari: Kiongozi mpya wa Iran kuteuliwa baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa
Mchakato unaendelea kuamua ni nani atakaye iongoza Iran, baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.
4 months, 1 week ago
Yaliyo jiri Afrika: Tahadhari yatolewa kwa mlipuko wa virusi vinavyo sababisha UVIKO-19 Tanzania
Wizara ya afya Tanzania imesema kuwa maambukizi ya wagonjwa wa mafua makali ya Influenza na Uviko-19 yameongezeka na kuwataka wananchi kuchukua hatua…
4 months, 1 week ago
Makala leo: 'Punguza uchochezi' Waziri Mkuu asema baada ya ongezeko ya vitisho dhidi ya wabunge
Kuondolewa kwa dharura kwa Waziri Mkuu kutoka nyumbani kwake mjini Canberra kwa sababu ya tisho la bomu lililolengwa, kumesababisha maonyo ya kuongez…
4 months, 1 week ago