Podcast Episodes
Back to Search
Makala leo: Jinsi vita Mashariki ya Kati vina chochea wasiwasi kuhusu usalama wa chakula
Vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati, na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, kumesababisha kile ambacho wataalamu wanakielezea kama moja ya migo…
3 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari 23 Machi 2026
Serikali ya shirikisho inaagiza Tathmini ya Kitaifa ya Mnyororo wa Ugavi wa Chakula kwa ajili yakulinda sekta ya kilimo ya nchi dhidi ya usumbufu wa …
3 months, 2 weeks ago
SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula vya ajabu
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula vya ajabu?
3 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari:Wakazi wa Kusini Australia wa elekea debeni, je kutakuwa mabadiliko ya serikali?
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema usambazaji wa mafuta nchini Australia uko salama, lakini anataka Australia iwe tayari kupita kiasi linapokuja su…
3 months, 3 weeks ago
Makala leo: Waziri Mkuu ateua kikosi kazi chaku kabili maswala yaliyo sababishwa na vita Mashariki ya Kati
Waziri Mkuu amemteua 'mratibu wa mafuta' kusaidia kushughulikia masuala ya mnyororo wa ugavi yaliyosababishwa na vita katika maeneo ya Mashariki ya K…
3 months, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu amteua mratibu wa kitaifa wa mafuta
Waziri Mkuu Anthony Albanese, amteua mratibu wa kitaifa wa mafuta, kushughulikia masuala ya usambazaji.
3 months, 3 weeks ago
SBS Learn Eng Ep 105 Jinsi yakuzungumza kuhusu mafanikio kazini
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?
3 months, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao
Waziri wa Nishati Chris Bowen amehakikishia taifa kwamba usambazaji wa mafuta nchini Australia bado uko salama, huku usafirishaji ukifika kama ilivyo…
3 months, 3 weeks ago
Mahojiano: Micheline"Tunataka wanawake wote wasimame imara"
Wanawake kutoka jumuiya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wana jiandaa kwa sherehe maalum ya siku ya wanawake.
3 months, 3 weeks ago
Mahojiano: Jay "vita dhidi ya Iran vinaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa Australia"
Madhara ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, yame anza kushuhudiwa nchini Australia.
3 months, 3 weeks ago