Podcast Episodes
Back to Search
Taarifa ya Habari: Serikali ya shirikisho yaongeza hatua za usambazaji wa mafuta Australia
Serikali ya Shirikisho imebadilisha hatua nyingine kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta Australia.
3 months, 3 weeks ago
Makala leo: Sheria mpya za Australia kupiga marufuku kwa muda baadhi ya watu kuingia nchini za kosolewa
Serikali ya shirikisho ime wasilisha sheria mpya ya kuweka marufuku ya muda, kwa baadhi ya nchi kutumia viza fulani kuja Australia.
3 months, 4 weeks ago
Taarifa ya Habari: Viongozi wa dunia wakubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura
Mataifa tajiri zaidi duniani yamekubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura, kwa ajili ya kupunguza ongezeko kubwa la bei k…
3 months, 4 weeks ago
Australia Yafafanuliwa:Taarifa kuhusu sheria za forodha na usalama wa kibiolojia za Australia
Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye…
4 months ago
Yaliyojiri Afrika: 45 wafariki katika mafuriko mjini Nairobi
Nchini kenya idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa wiki iliopita, imeongezeka kutoka 23 na sasa idadi hiyo imefikia…
4 months ago
Taarifa ya Habari: Waziri Mkuu aeleza timu ya soka ya wanawake ya Iran, "msaada upo kama wana uhitaji"
Waziri Mkuu wa Australia amesema serikali itamsaidia yeyote kati ya timu ya soka ya wanawake ya Iran ambaye bado hajaomba hifadhi hapa.
4 months ago
SBS Learn Eng Ep 69 Jinsi yakuzunguza kuhusu kunyolewa kwa Kiingereza
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?
4 months ago
Makala leo: Wanawake kote duniani wame ingia mitaani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake
Wanawake kote duniani walijitokeza mitaani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakitaka kukomeshwa kwa ukosefu wa usawa na ubaguzi.
4 months ago
Taarifa ya Habari: Vituo vya kuuza mafuta vyaonywa visiongeze bei kupita kiasi
Mojtaba Khamenei ametangazwa kuwa kiongozi mkuu mpya wa Iran.
4 months ago
Taarifa ya Habari: Onyo za mafuriko zawekwa kote jimboni Queensland
Onyo za mafuriko zimewekwa kote jimboni Queensland, wakati hali ya hewa ya kitropiki inatabiriwa kufika pwani mchana wa leo kati ya miji ya Cairns na…
4 months ago