Episode Details
Back to Episodes
Makala leo:Australia na Indonesia wasaini mkataba wa usalama
Published 5 months ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese amepongeza makubaliano mapya ya usalama na Indonesia kama mabadiliko muhimu kuelekea ushirikiano wa karibu wa ulinzi kati ya nchi hizi mbili. Hata hivyo, wachambuzi wanaonya kwamba mkataba huo unaweza kuja na gharama kubwa, ikiwezekana kupuuza masuala ya haki za binadamu yanayoendelea huko Papua Magharibi na wasiwasi kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa siku zijazo wa serikali ya Indonesia