Podcast Episodes

Back to Search
Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria

Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.

2 years, 11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, waka…

2 years, 11 months ago

Short Long
View Episode
Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"

Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.

2 years, 11 months ago

Short Long
View Episode
David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum

Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali m…

2 years, 11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023

Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kav…

3 years ago

Short Long
View Episode
Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La'

Wa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita p…

3 years ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023

Wa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.

3 years ago

Short Long
View Episode
Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao

Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.

3 years ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023

Jumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.

3 years ago

Short Long
View Episode
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura

Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bun…

3 years ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us