Episode Details
Back to EpisodesKura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La'
Published 2 years, 8 months ago
Description
Wa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.