Episode Details
Back to EpisodesBlaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"
Published 2 years, 8 months ago
Description
Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.