Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 17 Oktoba 2023
Published 2 years, 8 months ago
Description
Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.