Podcast Episodes

Back to Search
Hatari ya Ukimya!
Hatari ya Ukimya!

Season 4 Episode 8

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 13:21–22 tunaendelea na simulizi ngumu ya familia ya Daudi.

Jana tulimwona Tamari akiwa amevunjika baad…

2 weeks, 6 days ago

Short Long
View Episode
Usipuuze Maumivu ya Aliyejeruhiwa!
Usipuuze Maumivu ya Aliyejeruhiwa!

Season 4 Episode 7

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 13:19–20 tunabaki katika simulizi ngumu ya Tamari.

Jana tuliona ukatili ambao Amnoni alimfanyia. Leo Bi…

3 weeks ago

Short Long
View Episode
Upendo wa Kweli Huheshimu Mipaka!
Upendo wa Kweli Huheshimu Mipaka!

Season 4 Episode 6

🎙️ Leo katika Neno la Leo tunatafakari 2 Samweli 13:10–14, sehemu nzito na yenye maumivu katika simulizi la familia ya Daudi.

Amnoni anapokuwa peke ya…

3 weeks, 1 day ago

Short Long
View Episode
Usilishe Tamaa Isiyofaa Moyoni
Usilishe Tamaa Isiyofaa Moyoni

Season 4 Episode 5

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 13:1–2 tunaingia katika sehemu ngumu na yenye huzuni katika familia ya Daudi.

Tunamkuta Amnoni akianza …

3 weeks, 2 days ago

Short Long
View Episode
Mungu Bado Anaweza Kuandika Sura Mpya!
Mungu Bado Anaweza Kuandika Sura Mpya!

Season 4 Episode 4

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 12:24–25 tunafika katika sehemu tofauti kabisa ya simulizi la Daudi.

Tumemwona akikosea vibaya.

Tumemwon…

3 weeks, 3 days ago

Short Long
View Episode
Baada ya Siku Ngumu, Unaweza Kuinuka Tena
Baada ya Siku Ngumu, Unaweza Kuinuka Tena

Season 4 Episode 3

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 12:20 tunakutana na Daudi baada ya kupokea jibu ambalo hakulitaka.

Jana tulimwona akiwa chini, akifunga…

3 weeks, 4 days ago

Short Long
View Episode
Omba Hata Kama Hujui Mungu Atajibu Vipi!
Omba Hata Kama Hujui Mungu Atajibu Vipi!

Season 4 Episode 2

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 12:16–17 tunamwona Daudi katika sehemu tofauti kabisa na jana.

Jana alisimama mbele ya Nathani na kukub…

3 weeks, 5 days ago

Short Long
View Episode
Ukikosea, Usijifiche. Rudi kwa Mungu!
Ukikosea, Usijifiche. Rudi kwa Mungu!

Season 4 Episode 1

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 2 Samweli 12:13–14 tunakutana na moja ya moments nzito zaidi katika maisha ya Daudi.

Nabii Nathani amesimama mbel…

3 weeks, 6 days ago

Short Long
View Episode
Maliza Vizuri!
Maliza Vizuri!

Season 3 Episode 61

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 30:23–26 na 31:1–4 tunafunga mwezi wetu na wakati huohuo tunafika mwisho wa safari yetu kupitia kitabu…

4 weeks ago

Short Long
View Episode
Mungu Anaweza Kukurejeshea Ulichofikiri Kimepotea!
Mungu Anaweza Kukurejeshea Ulichofikiri Kimepotea!

Season 3 Episode 60

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 30:8, 18–19 tunaendelea na Daudi baada ya moja ya siku ngumu zaidi katika maisha yake.

Jana tulimwacha …

4 weeks, 1 day ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us