Podcast Episodes
Back to Search
Imani ya Kweli Haitegemei Jibu Unalotaka!
Season 4 Episode 18
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 15:25–26 tunaendelea na simulizi ya Mfalme Daudi akiwa katika safari ya kukimbia Yerusalemu baada ya u…
1 week, 3 days ago
Si Kila Anayekufuata Wakati wa Furaha Atasimama Nawe Wakati wa Shida!
Season 4 Episode 17
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 15:19–21 tunaendelea na simulizi ya Daudi akiwa katika safari ya kukimbia Yerusalemu baada ya mwanawe …
1 week, 4 days ago
Mafanikio Hayamaanishi Mwisho wa Changamoto!
Season 4 Episode 16
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 15:13–14 tunamkuta Mfalme Daudi katika hali ambayo huenda hakuwahi kufikiria angeipitia tena.
Miaka min…
1 week, 5 days ago
Tatizo Unalolipuuza Leo Linaweza Kukugharimu Kesho!
Season 4 Episode 15
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 15:10–12 tunaendelea na simulizi ya Absalomu, mwana wa Mfalme Daudi.
Jana tulimwona akijenga ushawishi …
1 week, 6 days ago
Usiishi Kwa Kutafuta Approval ya Watu!
Season 4 Episode 14
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 15:1–6 tunaendelea na simulizi ya Absalomu, mwana wa Mfalme Daudi.
Baada ya kurudishwa Yerusalemu na ha…
2 weeks ago
Si Kila “Tuko Sawa” Inamaanisha Tuko Sawa!
Season 4 Episode 13
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 14:32–33 tunamwona Absalomu hatimaye akikutana na baba yake, Mfalme Daudi, baada ya miaka mingi ya ute…
2 weeks, 1 day ago
Sio Kila Ukimya Ni Amani!
Season 4 Episode 12
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 14:28 tunaendelea na simulizi ya Daudi na mwanawe Absalomu.
Biblia inatuambia kwamba Absalomu aliishi Y…
2 weeks, 2 days ago
Si Kila Anayerudi Amerudishiwa Nafasi Moyoni!
Season 4 Episode 11
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 14:21–24 tunaendelea na simulizi ya Daudi na mwanawe Absalomu.
Baada ya miaka ya utengano na mipango ya…
2 weeks, 3 days ago
Si Kila Tatizo Jawabu Lake Ni Ukimya!
Season 4 Episode 10
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 14:1–3 tunaendelea na simulizi ya familia ya Daudi ambayo imepitia maumivu, ukatili, kisasi na sasa ut…
2 weeks, 4 days ago
Kisasi Hakiponyi Jeraha!
Season 4 Episode 9
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 2 Samweli 13:28–29 tunaendelea na simulizi ya familia ya Daudi, ambako maumivu ambayo hayajashughulikiwa sasa ya…
2 weeks, 5 days ago