Podcast Episodes
Back to Search
Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu
Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima y…
2 months, 2 weeks ago
Wiki Hii Afrika: CHADEMA chafungua ofisi zake tena Tanzania baada yakupigwa marufuku
Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.
2 months, 2 weeks ago
Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu"
Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.
2 months, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026
Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapem…
2 months, 3 weeks ago
SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?
2 months, 3 weeks ago
Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali
Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto
2 months, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta
Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiiti…
2 months, 3 weeks ago
Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili
Rais wa Kenya, William Ruto amesema Umoja wa Afrika katika muundo wake wa sasa, hauja andaliwa ipaswavyo ili kulisaidia bara la Afrika kufikia uwezo …
2 months, 3 weeks ago
Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jeneral…
2 months, 3 weeks ago
Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako
Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji hudum…
2 months, 3 weeks ago