Episode Details
Back to Episodes
Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC
Published 19 hours ago
Description
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliwa na changamoto katika juhudi za kudhibiti Ebola, baada ya chama cha wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka.