Episode Details
Back to Episodes
Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako
Published 13 hours ago
Description
Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwango vya juu vilivyoshuhudiwa baada ya janga, na inatarajiwa kubaki juu zaidi ya wastani wa kihistoria wa hivi karibuni angalau hadi mwisho wa mwaka 2028.