Episode Details
Back to Episodes
Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu"
Published 10 hours ago
Description
Vijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.