Episode Details

Back to Episodes
How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.

How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.

Published 3 days, 11 hours ago
Description
How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes through Victoria’s parliament and receives royal assent, the formal approval that makes it law. - Je, sheria hutungwaje nchini Australia? Kupitia simulizi ya Mzee wa ukoo wa Wurundjeri, Mjomba Dave Wandin, kuhusu Birrarung—ambayo pia inajulikana kama Mto Yarra—jifunze jinsi wazo linavyogeuka kuwa mswada, likapita katika bunge la Victoria na kupata idhini ya kifalme, ambayo ndiyo hatua rasmi ya kulifanya kuwa sheria.

How Australia Works is an SBS podcast that uses real stories and clear explanations to help you understand how government work in Australia, how laws are made and changed, and how you can have a say. Listen to the series and find shorter versions in 60 languages on the How Australia Works main page. - "How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo yaliyo wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza toa maoni yako. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi zaidi katika lugha 60. Kwenye Ukurasa wa How Australia Works.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us