Episode Details
Back to Episodes
Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia
Published 3 days, 13 hours ago
Description
Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia kuzishtaki kampuni kubwa za teknolojia kutokana na madhara yanayotokea mtandaoni.