Episode Details

Back to Episodes
Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia

Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia

Published 3 days, 12 hours ago
Description
Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 630 leo.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us