Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari:Mweka Hazina aashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba
Published 1 week, 6 days ago
Description
Mweka Hazina anaashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba, huku mfululizo wa ongezeko la viwango vya riba ukishindwa kuleta mfumuko wa bei ndani ya kiwango kinacholengwa cha Benki ya Hifadhi.