Episode Details
Back to Episodes
Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi
Published 1 week, 6 days ago
Description
After receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the courts have different roles, and how some official decisions can be questioned. - Baada ya kupewa faini kwa kutovaa kofia ya pikipiki ipasavyo, Hugo anaamua kulifikisha suala hilo mahakamani. Hadithi yake inaeleza jinsi Bunge, serikali na mahakama zinavyotekeleza majukumu tofauti, na jinsi maamuzi fulani rasmi yanavyoweza kuhojiwa.
How Australia Works is an SBS podcast that uses real stories and clear explanations to help you understand how government work in Australia, how laws are made and changed, and how you can have a say. Listen to the series and find shorter versions in 60 languages on the How Australia Works main page. - How Australia Works ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ili kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza kutoa maoni. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi katika lugha 60 kwenye tovuti ya How Australia Works.